screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,916 Reaction score 15,974 Dec 3, 2020 #21 elly obedy said: Huyu Mfaume mfaume ndo yule aliye mpiga mudy matumla mpaka akazima au nimekosea. Click to expand... Ndio
elly obedy said: Huyu Mfaume mfaume ndo yule aliye mpiga mudy matumla mpaka akazima au nimekosea. Click to expand... Ndio
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,822 Reaction score 5,415 Dec 3, 2020 #22 Hance Mtanashati said: Mabondia wabongo wengi kinachowaponza ni starehe,bangi,utemi wa kipumbavu na kutozingatia lishe sahihi na mazoezi. Nilisha wadhamini wengi lakini nikaona ninaambulia hasara nikaachana nao. Click to expand... Hivi kudhamini fight inakuaje...?? Process zake Unapataje hela? Mshindi anapataje hela? Nk Inshort napenda kujua hii kitu...maana niko empty kabisa
Hance Mtanashati said: Mabondia wabongo wengi kinachowaponza ni starehe,bangi,utemi wa kipumbavu na kutozingatia lishe sahihi na mazoezi. Nilisha wadhamini wengi lakini nikaona ninaambulia hasara nikaachana nao. Click to expand... Hivi kudhamini fight inakuaje...?? Process zake Unapataje hela? Mshindi anapataje hela? Nk Inshort napenda kujua hii kitu...maana niko empty kabisa
K kabunda88 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2015 Posts 3,094 Reaction score 2,693 Dec 3, 2020 #23 Ungetuwekea na wa uzito mkubwa wakina mchumia tumbo
T The hitman JF-Expert Member Joined Nov 30, 2017 Posts 3,662 Reaction score 2,292 Dec 3, 2020 #24 Mwakinyo na kiduku kwangu Mimi ndio Bora , hao wengine bado
mwanazuoni mgeni JF-Expert Member Joined Sep 11, 2016 Posts 1,944 Reaction score 1,734 Dec 4, 2020 #25 Twaha kiduku Makwinyo Dula mbabe Afu ndo hao wengine
elly obedy JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 841 Reaction score 1,545 Dec 26, 2020 #26 Matokeo vip huko? Mfaume Mfaume Vs Chikondo Twaha Kiduku Vs Guy Tshimanga Tonny Rashid Vs Hasan Milanzi
Matokeo vip huko? Mfaume Mfaume Vs Chikondo Twaha Kiduku Vs Guy Tshimanga Tonny Rashid Vs Hasan Milanzi
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,304 Reaction score 31,774 Dec 26, 2020 #27 The hitman said: Mwakinyo na kiduku kwangu Mimi ndio Bora , hao wengine bado Click to expand... Toka nimetazama Salama na Mwakinyo, nilimwelewa sana huyu mwamba na yuko focused anajua anachofanya
The hitman said: Mwakinyo na kiduku kwangu Mimi ndio Bora , hao wengine bado Click to expand... Toka nimetazama Salama na Mwakinyo, nilimwelewa sana huyu mwamba na yuko focused anajua anachofanya