Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,672
- 35,437
Class anaweza mpiga mwakinyo?Hii list sio haba ila ni vizuri zaidi kama ungeainisha wenye uzito unaofanana ingawa umeelezea hapo juu kinagaubana,
Binafsi hapo anaanza Class anafuata Mwakinyo
AnawezaClass anaweza mpiga mwakinyo?
Tena kiwepesi sana.Class anaweza mpiga mwakinyo?
Pound for pound huwa haiangalii uzito.Hii list sio haba ila ni vizuri zaidi kama ungeainisha wenye uzito unaofanana ingawa umeelezea hapo juu kinagaubana,
Binafsi hapo anaanza Class anafuata Mwakinyo
Twaha kidukuHuyo alochora tattoo mpaka usoni anaitwa nan?
Simpati ila nimeona Kuna sehemu Kuna pambano kati yake na Tinampay.Siwajui sana mabondia wa kibongo, ila kuna mtu anaitwa Iddi Pialari unamjua?
Mabondia wabongo wengi kinachowaponza ni starehe,bangi,utemi wa kipumbavu na kutozingatia lishe sahihi na mazoezi.Siwajui sana mabondia wa kibongo, ila kuna mtu anaitwa Iddi Pialari unamjua?
Inahitaji moyo kuwekeza kwenye boxing bongo, kurudisha pesa ni bahati sana. Atleast Mwakinyo ana potential ya kupiga hela kama ataendelea kufanya vizuri kwa miaka kama mitatu mingineMabondia wabongo wengi kinachowaponza ni starehe,bangi,utemi wa kipumbavu na kutozingatia lishe sahihi na mazoezi.
Nilisha wadhamini wengi lakini nikaona ninaambulia hasara nikaachana nao.
Akijitahidi sana Round 2Jarmell charlo unamjua uyu mtu
Nauwakika siku mwakinyo akikanyag huu moto anapasuka taya
Nimejaribu kuangalia mapambano yake mawili matatu inaonesha ana skills, akiwa na usimamizi mzuri anaweza kufika mbaliSimpati ila nimeona Kuna sehemu Kuna pambano kati yake na Tinampay.
Sijajua kama ni official fight ama lah
Ndio Huyo HuyoHuyu Mfaume mfaume ndo yule aliye mpiga mudy matumla mpaka akazima au nimekosea.