Naomba nifafanue thread yangu. Ilikuwa walioko mwaka wa pili na watatu waanze mitihani yao tar 19 mwez huu lakin wamesogezewa mpaka tar 9-23 sept wametuma walaka kila chuo ambapo selection zitafanyika tar 16-28 sept na watatangazwa watakaochaguliwa tar 5-11 octoba. Hiyo ni hakika. Ukitaka maelezo zaidi ni pm nikupe namba yangu ili tuwasiliane by oral.