Nimemsikia jamaa mmoja ambaye anaweza kuaminika kuwa post zitakuwa Feb na zikibadilika itakuwa June ikishindikana nayo basi jipe moyo, Maisha yanawezekana kila kona
unajiajiri bila mtaji? ukienda bank kukopa wanakugeuza kama cnema ya mwaka, wanaona kama umerukwa na akili, wanakuchukuliaje cjui na mwisho wa cku hata hutosikilizwa