Mkuu, nami nasubiri majibu kuhusu hili. Ila ninapenda unisaidie kitu kimoja. Kwenye online application system ya udsm postgraduate ucourses nimekamilisha kila kitu na kuambatanisha kila kitu zikiwemo data na emails za referees. Tatizo, email za udsm zenye referees' forms haziwafikii mareferee wangu!Nilisubmit my application package before deadline. Niki-click sehemu ya 'remind/inform referee',ninapata jibu that an email has been sent to a referee. But, mareferee wangu wote wanasema hawajapata email yoyote toka udsm kuhusu hili! Nimekuwa ninarudia ku-click hiyo part mara kwa mara. Nimewatumia email ya kawaida udsm kuhusu hili,but hawjajibu! Nimehakikisha email za referees wangu zote nimeandika kwa usahihi. Wadau,ninaombeni msaada kuhusu hili.
Siyo lazima watumiwe email mkuu subiri admission kama umekidhi vigezo vyaoMkuu, nami nasubiri majibu kuhusu hili. Ila ninapenda unisaidie kitu kimoja. Kwenye online application system ya udsm postgraduate ucourses nimekamilisha kila kitu na kuambatanisha kila kitu zikiwemo data na emails za referees. Tatizo, email za udsm zenye referees' forms haziwafikii mareferee wangu!Nilisubmit my application package before deadline. Niki-click sehemu ya 'remind/inform referee',ninapata jibu that an email has been sent to a referee. But, mareferee wangu wote wanasema hawajapata email yoyote toka udsm kuhusu hili! Nimekuwa ninarudia ku-click hiyo part mara kwa mara. Nimewatumia email ya kawaida udsm kuhusu hili,but hawjajibu! Nimehakikisha email za referees wangu zote nimeandika kwa usahihi. Wadau,ninaombeni msaada kuhusu hili.
Mkuu, nami nasubiri majibu kuhusu hili. Ila ninapenda unisaidie kitu kimoja. Kwenye online application system ya udsm postgraduate ucourses nimekamilisha kila kitu na kuambatanisha kila kitu zikiwemo data na emails za referees. Tatizo, email za udsm zenye referees' forms haziwafikii mareferee wangu!Nilisubmit my application package before deadline. Niki-click sehemu ya 'remind/inform referee',ninapata jibu that an email has been sent to a referee. But, mareferee wangu wote wanasema hawajapata email yoyote toka udsm kuhusu hili! Nimekuwa ninarudia ku-click hiyo part mara kwa mara. Nimewatumia email ya kawaida udsm kuhusu hili,but hawjajibu! Nimehakikisha email za referees wangu zote nimeandika kwa usahihi. Wadau,ninaombeni msaada kuhusu hili.
Mkuu, nami nasubiri majibu kuhusu hili. Ila ninapenda unisaidie kitu kimoja. Kwenye online application system ya udsm postgraduate ucourses nimekamilisha kila kitu na kuambatanisha kila kitu zikiwemo data na emails za referees. Tatizo, email za udsm zenye referees' forms haziwafikii mareferee wangu!Nilisubmit my application package before deadline. Niki-click sehemu ya 'remind/inform referee',ninapata jibu that an email has been sent to a referee. But, mareferee wangu wote wanasema hawajapata email yoyote toka udsm kuhusu hili! Nimekuwa ninarudia ku-click hiyo part mara kwa mara. Nimewatumia email ya kawaida udsm kuhusu hili,but hawjajibu! Nimehakikisha email za referees wangu zote nimeandika kwa usahihi. Wadau,ninaombeni msaada kuhusu hili.
Hiyo haina shida ni system yao tuu mie mwakajana ilnipa shida sana lkn nikawatumia email wakanijibu hakuna shida nisubiri na mwisho wa siku nlipata chuo! Kwahiyo subiri tuuMkuu, nami nasubiri majibu kuhusu hili. Ila ninapenda unisaidie kitu kimoja. Kwenye online application system ya udsm postgraduate ucourses nimekamilisha kila kitu na kuambatanisha kila kitu zikiwemo data na emails za referees. Tatizo, email za udsm zenye referees' forms haziwafikii mareferee wangu!Nilisubmit my application package before deadline. Niki-click sehemu ya 'remind/inform referee',ninapata jibu that an email has been sent to a referee. But, mareferee wangu wote wanasema hawajapata email yoyote toka udsm kuhusu hili! Nimekuwa ninarudia ku-click hiyo part mara kwa mara. Nimewatumia email ya kawaida udsm kuhusu hili,but hawjajibu! Nimehakikisha email za referees wangu zote nimeandika kwa usahihi. Wadau,ninaombeni msaada kuhusu hili.
Thanks much. Juzi nilifika udsm kuwaona kuhusu hili, wakaniambia hakuna shida. Itakuwa kuna tatizo aidha kwny system yao au third part. Process zinasema my application is in process. Appreciate.Hiyo haina shida ni system yao tuu mie mwakajana ilnipa shida sana lkn nikawatumia email wakanijibu hakuna shida nisubiri na mwisho wa siku nlipata chuo! Kwahiyo subiri tuu
Thanks much. Juzi nilifika udsm kuwaona kuhusu hili, wakaniambia hakuna shida. Itakuwa kuna tatizo aidha kwny system yao au third part. Process zinasema my application is in process. Appreciate.Hebu jaribu kuwaelekeza hao referees wako kwenye email zao wafungue kwenye "Spam" au "Junk folder" wakati mwingine email inaweza ikaingia ikajificha huko usiione na baada ya siku 30 ikajifuta yenyewe.
Thanks much. Juzi nilifika udsm kuwaona kuhusu hili, wakaniambia hakuna shida. Itakuwa kuna tatizo aidha kwny system yao au third part. Process zinasema my application is in process. Appreciate.Piga simu, namba za simu umewekewa
Kwa hiyo wameshatoa admision?Ni PM... mim nilifanikisha
Ok ilikuwa hivyo!Kama uliapply first round( kabla ya mwezi June) admission letter washatuma tayari, inabidi uwacheki kama haujapata... mimi nilifanya hivyo
NimekuPMNi PM... mim nilifanikisha
Kama uliapply first round( kabla ya mwezi June) admission letter washatuma tayari, inabidi uwacheki kama haujapata... mimi nilifanya hivyo
Boss, mimi nilitumiwa Admission Letter tokea mwezi wa 8 nadhani. College ipi? Mi Coet.Kwema mkuu hata mmi nina shida kama hiyo yani mpaka leo tarehe 26 hawajatoa.