Mara nyingi au ni vzr awe aliye kufundisha kwasabu huwa wanahita mtu anae kufaham vzr academicallyWakuu Application za postgraduate za UDSM zishatoka. Application mwisho 13/5/2016. Pamoja na mambo mengine wanatakiwa Referees watatu. Je, hawa lazima wawe kati ya wale waliokufundisha BACHELOR DEGREE? Kwenye guideline yao hawaja upload ukifungua inasema : TO BE ADDED. Msaada Tafadhali
Nadhani walau mmoja awe kati ya waliokufundisha. Asante kwa habari hii njema
ahsante kwa majibu mazuriMara nyingi au ni vzr awe aliye kufundisha kwasabu huwa wanahita mtu anae kufaham vzr academically
Pamoja sanaahsante kwa majibu mazuri
thanks a lotila kama ukiwa kazini boss wako anaweza kuwa referee wako!
Kama walivyoshauri wengine hapo juu, hata kama umesoma UDSM na una GPA ya 5 itakusaidia ukiwa na referee at least mmoja wa chuo hicho kwa vyuo ambavyo wanafunzi hufanya utafiti supervisor wako atafaa zaidi.Kama shahada ya kwanza uliipata hapohapo UDSM refaree unaweza kuwatumia mabosi wako tu na application yako ikakubaliwa bila zengwe! Cha muhimu uwe ulifaulu vizuri (Angalau GPA 3.5+).
cc: MkoroshokigoliWakuu Application za postgraduate za UDSM zishatoka. Application mwisho 13/5/2016. Pamoja na mambo mengine wanatakiwa Referees watatu. Je, hawa lazima wawe kati ya wale waliokufundisha BACHELOR DEGREE? Kwenye guideline yao hawaja upload ukifungua inasema : TO BE ADDED. Msaada Tafadhali
Mpaka kumaliza masters ada ni million sita na laki kadhaa. Hyo tarehe inawekwaga ila MTU unaweza Ku apply mapema mana ni wasumbufu.Wakuu Application za postgraduate za UDSM zishatoka. Application mwisho 13/5/2016. Pamoja na mambo mengine wanatakiwa Referees watatu. Je, hawa lazima wawe kati ya wale waliokufundisha BACHELOR DEGREE? Kwenye guideline yao hawaja upload ukifungua inasema : TO BE ADDED. Msaada Tafadhali
Si kweli kwa waliosoma udsm lower second wanakubaliwa ila vyuo vingine ndo aboveKama shahada ya kwanza uliipata hapohapo UDSM refaree unaweza kuwatumia mabosi wako tu na application yako ikakubaliwa bila zengwe! Cha muhimu uwe ulifaulu vizuri (Angalau GPA 3.5+).
Tena linguistics walipunguza kidogoNISAIDIENI KUNIJUZA ADA YA M.A(Linguistics) UDSM KWA MWAKA HUU WAKUU.
AHSANTE MKUU, PIA NINGETAJIWA EXACT AMOUNT INGESAIDIA SANA.Tena linguistics walipunguza kidogo
We we andaa tu million sita na nusu mkuuAHSANTE MKUU, PIA NINGETAJIWA EXACT AMOUNT INGESAIDIA SANA.
Akili hata mojaNISAIDIENI KUNIJUZA ADA YA M.A(Linguistics) UDSM KWA MWAKA HUU WAKUU.
NINI??We we andaa tu million sita na nusu mkuu