mkuu ZIP Codes inahusiana na mfumo wa posta wa huko marekani...
hapa kwetu hatuna hicho kitu...
hiyo +255 siyo ZIP Code bali ni International telephone code...ukitaka kunipigia simu yangu say....0713..000000...nawe ukiwa nje ya TZ unachofanya ni piga +255 0713 000000 hapo umenipata...mfano hiyo code Kenya ni +254 na USA ni +1
kwa habari zaidi kuhusu ZIP Codes tafadhali soma hapa: ZIP code - Wikipedia, the free encyclopedia
Bado nipo njia panda...Which is which now!!!!! Na unapokuta mahali hiyo Zipcode inahitajika utatumia ipi sana...
Asante, umenisaidia sana kuijaza form fulani huko kwa wenzetu, thank man, GOD BLESS YOUHaya sirmudy zip code ya tz ni hii hapa, 35091. Hii kirefu chake ni (Zone Improvement Program) inarihisha katika kutambua maeneo hususani kwa watu wa posta. hata kama mfumo hou hautumiki hapa tz lakini namba yetu ndio hiyo kaka
Naombeni msaada wadau, anaejua POSTAL/ZIP CODE YA TANZANIA naomba anitajie
Zipcode=Surualicode
Ingia hapa, Postcode ListHatuna system hiyo Tanzania
Sijui ndio hizi?Members naomba anayejua postalcode na zipcode kwa Mbeya, Chunya; Shinyanga, Kahama; Dar es Salaam, Temeke.
Kuna sehemu katika fomu ya kuagiza bidhaa toka UK nilitakiwa kujaza Postalcode/Zipcode nikashindwa. Msaada tafadhali.
Kwa Postal code ni anwani ya Posta ila zip code hatuna hapa Tz (I think zip code ni anwani ya makazi ambazo kwa TZ hatuna labda huu mchakato unaoendelea ukikamilika)