Donkey
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 1,499
- 1,582
Nasikitika sana, nimekuwa nikitumiwa mizigo kupitia shirika la posta Tanzania na mara nyingi mizigo{parcel} hainifikii au inapotea, je kwanini uongozi wa posta mnashindwa kuweka ulinzi wa mizigo ya watu, na nyie wafanyakazi kwanini mnakuwa wadokozi wa mizigo wakati mnalipwa mishahara, wizara husika saidieni kukomesha wizi huu