Yani wamekurupuka balaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]hii post inaichonganisha serikali na wananchi wake.inabidi wawaulize China wanafanyaje kubalance currency yao vs us $ mpaka wanamfanya Trump na US wanalialia sio kujifananisha na china kwenye mambo yasiyo na tija.
Yani yule mzee sijui kama hata anajua defn ya uchumi maana...Posta walioshindwa hata kuendesha Duka la MPESA, Posta ambao zama za TMO ulikuwa unafika unakuta hawana cash, leo hii waweze biashara ya watu wa mjini
Aisee me pia nilishangaa sana kuongea vilee kirahisi rahisi tuu... Suala la kusafirisha mizigo tu litawashinda hilii... Kukurupuka kwingi sanaaYule Mzee nilimsikiliza, pamoja na mimi ni CCM, ila hoja zake hazikuwa na mashiko, yaani alitamka kisiasa zaidi
Haa ha.. Mkuu Kama kutoa mawazo juu ya jambo fulani kutokuwa sawa ni Ubeberu bhasi acha tuitwe mabeberu...Mleta uzi una kila dalili za kuitangaza nchi vibaya kwa mabeberu.Muwe mnasema yaliyo mazuri na mabaya tuwe tunayajadili ndani kwa ndani kama familia moja.Kwani haujui kwamba hata vikombe kabatini hugongana?Au hutumii kabati weye?Achana na mabeberu.
Mimi kama mfia chama nawaangalia tu with one eye open and the other one closed,weye na shamimodd mnavyoeneza propaganda za kuichafua nchi.Huo si "uzarendo"! Na ndiyo maana Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa EA alisema mnyamaze kama maiti/watu tusiojitambua.Hata hivyo,ninyi mnaumwa nini dola kupelekwa kwa mrengo huo wakati hata kuzitumia hamjawahi?Acheni unoko.CCM hoyeeeee!Mtalimia " manjino" safari hii!Hapa kazi tu.Wakati hata ajira hakuna.Haa ha.. Mkuu Kama kutoa mawazo juu ya jambo fulani kutokuwa sawa ni Ubeberu bhasi acha tuitwe mabeberu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Una source ya kuaminika kwamba mambo haya yamesema na wenye mamlaka?? Weka hapaAisee kuna mambo yatia kinyaaa sana na kuchekesha.. sasa huyu mzee hapa anasema eti watu hawawezi kutupangia thamani ya hela yetu??? Serious kabisa yani msomi mzima unakaa kuamini Exchange rate ni kitu ambacho nchi flani inaamka na kuamua kuwa Rate iwe hivi??? Badala ya kupigana uchumi ukue eti unataka kuforce Shilling ionekane ina thamani zaidi mfano ukiweka 1USd=1TSH hivi ukitaka kununua bidhaa nje ya nchi hii ndo rate utakayoitumia kweli??? Mtalii kaja anataka kubadilisha pesa hivi Aache kutumia International exchange rate uanze kumwambia hizi habari za Posta exchange rate si atakuona tapeli...??? Utalii ukipungua muanze kumtafuta mchawi akati Bureau center zimepigwa pini zotee... Kichwa cha mwenda wazimu kweli Hiki...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji26]
HATUWEZI KUTATUA MATATIZO YETU KWA KUJIDANGANYA HAYAPO...! Mwalimu Jk.Nyerere
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio "wasomi" wetu ambao kwa sasa bongo zipo likizo na wanatumia masaburi kufikiri.mfano ukiweka 1USd=1TSH hivi ukitaka kununua bidhaa nje ya nchi hii ndo rate utakayoitumia kweli???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kama mfia chama nawaangalia tu with one eye open and the other one closed,weye na shamimodd mnavyoeneza propaganda za kuichafua nchi.Huo si "uzarendo"! Na ndiyo maana Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa EA alisema mnyamaze kama maiti/watu tusiojitambua.Hata hivyo,ninyi mnaumwa nini dola kupelekwa kwa mrengo huo wakati hata kuzitumia hamjawahi?Acheni unoko.CCM hoyeeeee!Mtalimia " manjino" safari hii!Hapa kazi tu.Wakati hata ajira hakuna.
Haya mambo kupata solution inabdi upunguze mihemko na hisiaa...Hawa ndio "wasomi" wetu ambao kwa sasa bongo zipo likizo na wanatumia masaburi kufikiri.
Mleta uzi una kila dalili za kuitangaza nchi vibaya kwa mabeberu.Muwe mnasema yaliyo mazuri na mabaya tuwe tunayajadili ndani kwa ndani kama familia moja.Kwani haujui kwamba hata vikombe kabatini hugongana?Au hutumii kabati weye?Achana na mabeberu.
Kwangu mie yule dogo siyo mzee hivyo nasema hivi time will tell. Wanaomshauri wasiwe kama wale waliokuwa wanamdanganya mwalimu wanapanda migomba barabarani ili akipita asifie kumbe inakauka kabla hajafika.