Tahadhari-- Kuna utapeli wa fedha za kigeni Posta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari-- Kuna utapeli wa fedha za kigeni Posta

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lucchese DeCavalcante, Jun 3, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Jamani kuna wimbi la matapeli wa fedha za kigeni nje ya maduka ya kubadilishia hizo fedha pale Posta karibu na SH Amon au Akari monoument. Juzi ndugu yangu wa karibu sana alienda kubadilisha US $ 4000 akakutana na jamaa wakidae eti wana rate nzuri zaidi ya zile za kwenye maduka ya kubadilishia fedha akakubaliana naio watambadilishia kwa TZS 1520 kila dola moja akaingiwa na tamaa wakambadilishia na akahesabu fedha zote zikatimia kwa mijibu wa mahesabu ya dola 4000. Kufika nyumbani lahaula! akaambulia noti 5 ta elfu kumi na mia tano kibao amabazo jumla yake ni TZS 165,000 kati ya TZS 6,080,000 alizozihesabu yeye mwenyewe kwa umakini na uhakika. Sasa cha ajabu ni vipi hizo milioni kadhaa zimegeuka kuwa vijisent vichache sijui wanatumia mazingaombwe ama vipi?? Kwa hiyo jamani tuwe makini ukienda popote kubadili fedha za kigeni hakikisha unabadili kwenye Beaureu de change na si vinginevyo kwani nasikia hawa matapeli kumbe wako siku nyingi na polisi wanawafahamu lakini ndio hivyo tena hii ndio Bongoland...
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Tatizo watanzania Tuna tamaa ya hela tunataka shortcut, cheap is expensive hapo ndo kajifunza hatorudia tena
   
Loading...