Posta acheni kufungua barua zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Posta acheni kufungua barua zetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimakafu, Jun 8, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Nasikitishwa na utendaji kazi wa wafanyakazi wa shirika la Posta sehemu ya masanduku ya barua, wamekuwa na tabia sugu,mbaya na ya muda mrefu ya kufungua barua/vifurushi wanavyoweka kwenye masanduku.Majuzi tu nimekuta barua zangu tatu kati ya tano zilizokuwemo humo sandukuni zikiwa wazi na baadhi docs wamechokonoa.Hapo siku za nyuma nilishaenda kulalamika lakin tabia naona bado ile ile,nimeshapoteza imani nao.Waache mchezo huu.
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu, tumia ups, fedex, dhl na kampuni za namna hiyo. Achana na posta ya bongo.
   
 3. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  wanatafuta hela, unajua tena shirika lenyewe chanel zimekata
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Powa mkuu,nazitumia,lakini ukiwa na shughuli fulani rasmi unajwaibika kuwa na sanduku la hawa jamaa,ikitokea kitu imepita huko wameshachungulia.Kero kweli bongo hii.
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  hahaha...chabo? cku hizi pesa hazitumwi huko wala barua za mapenzi sasa sijui wanasoma application lettters?
   
 6. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  hahahahha si unajua ugaidi mwingi sku hz ndo maana inabidi wafungue hahahah
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Labda wanadesa hizo barua na kuchukua vyeti etc wakavichakachue kwa manufaa yao!Lakini yote kwa yote ni upuuzi.
   
Loading...