VALENCE MUGANDA
Member
- Dec 1, 2012
- 53
- 2
Nisaidieni ndugu zangu kama kuna anayejua link yenye orodha ya walio chaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu daraja la tatu a. Nisaidieni kama kuna anayejua tafadhari.
Hivi siku hizi hata Ualimu wanakosa?