Post za Ualimu toka Wizara ya Elimu

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
4,289
Reaction score
1,243
Watu mmeshaanza tena ulimbukeni wenu.Kwani we ndo mwenye macho tu kuona?acheni kusumbua watu kwa uropokaji!
 
Website ya wizara ya elimu kwa sasa inapatikana kwenye moe.go.tz
 
Website ya wizara ya elimu kwa sasa inapatikana kwenye moe.go.tz
 
Acha ujinga wewe.

Sure!web hii haikuwa hewani kwa wiki km mbili sasa.sasa naona kweli imerudi hewani,bila shaka ni dalili nzuri za mambo yatakuwa tuyari muda mfupi kuanzia sasa.
 
"Asiyeweza kulipa nauli ya sh200 apige mbizi"

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kweli waziri kawambwa katoka kuongea sasa hv kuripot mwisho tarehe 9 mwez wa 3
 
Huenda kitu kweli kikawa hewani muda wowote ule. Hata mimi nimemsikia Kawambwa kwenye radio.
 
Izo post kweli au uongo mnaka kutupa presha bure ebu kuwen waz!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…