Post za Ualimu toka Wizara ya Elimu

Post za Ualimu toka Wizara ya Elimu

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
4,275
Reaction score
1,222
Watu mmeshaanza tena ulimbukeni wenu.Kwani we ndo mwenye macho tu kuona?acheni kusumbua watu kwa uropokaji!
 
Website ya wizara ya elimu kwa sasa inapatikana kwenye moe.go.tz
 
Website ya wizara ya elimu kwa sasa inapatikana kwenye moe.go.tz
 
"Asiyeweza kulipa nauli ya sh200 apige mbizi"

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kweli waziri kawambwa katoka kuongea sasa hv kuripot mwisho tarehe 9 mwez wa 3
 
Huenda kitu kweli kikawa hewani muda wowote ule. Hata mimi nimemsikia Kawambwa kwenye radio.
 
Back
Top Bottom