acha uzushi kijana hata shortlisting bado hizo nafaci nazifatilia kwa karibu sana na wakishortlist tutataarifiana ,ongea kitu chenye uhakika usiwadanganye wadau
Bado hawajaita watu,kama ni hizi za juz juz kwa wale waliomaliza mwaka 2011 au before 2011 but wenye post.graduate,bado,lakin weken sm zenu hewani,msikose zali la mentali.cyo mnazima..teh teh
Waulizwe watu wa kilimanjaro ndo wenye tra.............wengine labda uwe umeoa kwao vinginevyo wanakwambia fyombo fya pea ni fyao wachagaaa,wapare,warombo......kishumundu
waulizwe watu wa kilimanjaro ndo wenye tra.............wengine labda uwe umeoa kwao vinginevyo wanakwambia fyombo fya pea ni fyao wachagaaa,wapare,warombo......kishumundu