post za kidato cha tano zimetoka

post za kidato cha tano zimetoka

Daaah,,kuna mdogo angu apa alikua na two lkn cha ajabu hayupo asee kwa selected,,apa sa iv analia tyuu wakuu
 
Daaah,,kuna mdogo angu apa alikua na two lkn cha ajabu hayupo asee kwa selected,,apa sa iv analia tyuu wakuu
ata mm na three ya 23 na nlkua nachukua CBG na combi ime balance lkn cjaliona jina Lang naxhangaa tu au coz na F ya mathe au
 
Back
Top Bottom