samahan ndugu zangu naomba mnisaidie kujua nafasi za kujiunga na jeshi mwaka wa 2013 zinatoka lini au zimeshatoka,na utaratibu wao wa kutuma maombi uko vipi.
xafi maana hawezi ingia jeshin mpaka apitie jkt,kwani siku hizi mfumo wa kuajiri umebadilika jwtz wanaajiri vijana kutoka jkt tu labda uwe professional.