URASSA THE DON Member Joined Oct 12, 2010 Posts 70 Reaction score 7 Feb 1, 2012 #1 Naomba kujuzwa zile note counters 17posts bank of tanzania (bot) wameshaita au bado
M Mopalmo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 534 Reaction score 140 Feb 1, 2012 #2 mi pia nazisikilizia mwenye news atujulishe
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,252 Reaction score 98,838 Feb 1, 2012 #3 Kwani siku hizi hizo post kina kayumba nao wanazipata?
aikaruwa1983 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,398 Reaction score 1,504 Feb 1, 2012 #4 zile post zilikuwa kwa ajili ya wanawake so mazee msije mkawa mnazisikilizia..........
G GLADYSMWA New Member Joined Jan 25, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Feb 1, 2012 #5 haikuandikwa kama ni za wanawake.
M Ms mashaba Member Joined Dec 28, 2011 Posts 43 Reaction score 4 Feb 1, 2012 #6 aikaruwa1983 said: zile post zilikuwa kwa ajili ya wanawake so mazee msije mkawa mnazisikilizia.......... Click to expand... sio kwa wanawake tu ila uwe na elimu ya kidato cha nne na sio zaidi.
aikaruwa1983 said: zile post zilikuwa kwa ajili ya wanawake so mazee msije mkawa mnazisikilizia.......... Click to expand... sio kwa wanawake tu ila uwe na elimu ya kidato cha nne na sio zaidi.
aikaruwa1983 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,398 Reaction score 1,504 Feb 1, 2012 #7 Ms mashaba said: sio kwa wanawake tu ila uwe na elimu ya kidato cha nne na sio zaidi. Click to expand... ttz wasaka ajira TZ mkisoma tangazo mnaliamini moja kwa moja..ok lets wait and see..
Ms mashaba said: sio kwa wanawake tu ila uwe na elimu ya kidato cha nne na sio zaidi. Click to expand... ttz wasaka ajira TZ mkisoma tangazo mnaliamini moja kwa moja..ok lets wait and see..
M Maswa Member Joined Feb 17, 2011 Posts 50 Reaction score 3 Feb 1, 2012 #8 Wadau! Tayari walishaitwa kwenye usaili wa awamu ya kwanza i.e written interview tayari, pengine watakaofanikiwa kwenye hiyo ya kwanza ndo wataitwa oral! Kama haukuitwa jaribu tena zikitangazwa.......wiki imeisha toka walivyoitwa.
Wadau! Tayari walishaitwa kwenye usaili wa awamu ya kwanza i.e written interview tayari, pengine watakaofanikiwa kwenye hiyo ya kwanza ndo wataitwa oral! Kama haukuitwa jaribu tena zikitangazwa.......wiki imeisha toka walivyoitwa.