hats wasudani Kusini walikuwa name ndoto kama zako, Leo him wanachinjana wao kwa wao. Hats Zanzibar itaelekea huko, yaani kwenye vita vya waunguja na wapemba.
uchache wa watu? wazanzibari waliopo zanzibar sio wote, asilimia kubwa ya wazanzibari wapo bara, muungano ukivunjika itabidi warudi zanzibar. Kwa sasa hivi tu tukisema wote warudi hawatatosha kwa rasilimali zilizopo.
Ndio vigeugeu hivi, muungano hamtaki lakini kukaa bara mnataka. Chenu chenu, chetu chenu! wazanzibari wanakaa bara kama watanzania muungano ukivunjika hatutakuwa na sababu ya kuwahifadhi tena, kwa lipi? huko ulikotaja canada, UAE na UK wazanzibari wanakaa bila passport au visa? mbona unachanganya mambo?
hahaaaaaa Zanzibar na sudani ya kusini kuna tofauti kubwa kaka utamaduni, asili, dini Zanzibar inalindwa na uislamu tuko based na Mungu wetu Allah so we endelea kuota tu insha Allah atuepushe na hizo dua za kuku
kwani hizo rasilimali watakatazwa kuondoka nazo?
kaka wazanzibar wako wengi uk kuliko Tanganyika so waacheni warudi tu nyumbani nafac zipo nyingi tu za kuishi
uchache wa watu? wazanzibari waliopo zanzibar sio wote, asilimia kubwa ya wazanzibari wapo bara, muungano ukivunjika itabidi warudi zanzibar. Kwa sasa hivi tu tukisema wote warudi hawatatosha kwa rasilimali zilizopo.
Tusifike huko...ila watanganyika wapo znz wengi sana kuliko mnavo dhania..
Kwanza huko kuna kambi za jeshi zaidi ya 7 na 90% ni watanganyika
Kuna wamasai kibao
Kuna polisi wa tanganyika kibao
Kuna wafanyakazi wa taasisi za muungano kibao
Kuna wafanyakazi wa mahitelini karibu wote
Kuna wafanyakazi wa private sector kama mabenki tours bima hata maduka kutoka tanganyika
Pia kuna machinga wa tanganyika....hivo tusiombe ya kufukuzana kila mmoja ataathirika...
Kumbuka kwamba hata Somalia inalindwa na uislamu, hata wao wanamtegemea Allah. Sasa ni kwanini wameshindwa kuwa na amani? Kama uislamu haukuweza kulinda amani Somalia una uhakika gani kwamba Zanzibar itakuwa salama baada ya kujitenga?hahaaaaaa Zanzibar na sudani ya kusini kuna tofauti kubwa kaka utamaduni, asili, dini Zanzibar inalindwa na uislamu tuko based na Mungu wetu Allah so we endelea kuota tu insha Allah atuepushe na hizo dua za kuku