Post Muungano Zanzibari kunawiri

Post Muungano Zanzibari kunawiri

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,694
Reaction score
9,580
Wingi wa rasilimali na uchache wa watu, viongozi makini kutachangia Zanzibar kupaa kiuchumi hadi kufikia kiwango cha Sychelles na hata Brunei.
 
hats wasudani Kusini walikuwa name ndoto kama zako, Leo him wanachinjana wao kwa wao. Hats Zanzibar itaelekea huko, yaani kwenye vita vya waunguja na wapemba.
 
Na post muungano Tanganyika, Arusha na mikoa mengine wamesema watataka uhuru wao.
 
hats wasudani Kusini walikuwa name ndoto kama zako, Leo him wanachinjana wao kwa wao. Hats Zanzibar itaelekea huko, yaani kwenye vita vya waunguja na wapemba.

ndio mawazo potofu na kasumba zilizokujaa, watu kama nyinyi ndio kama zile gari ambazo zimekuwa right off
 
hats wasudani Kusini walikuwa name ndoto kama zako, Leo him wanachinjana wao kwa wao. Hats Zanzibar itaelekea huko, yaani kwenye vita vya waunguja na wapemba.
Kwani znb wakichinjana kuna ubaya gani
 
uchache wa watu? wazanzibari waliopo zanzibar sio wote, asilimia kubwa ya wazanzibari wapo bara, muungano ukivunjika itabidi warudi zanzibar. Kwa sasa hivi tu tukisema wote warudi hawatatosha kwa rasilimali zilizopo.
 
unawaona waznz ni vipofu kama nyinyi unawapangia kurudi znz, waulizie UAE wako wangapi? Uk wako wangap? Canada wako wangapi? Na nchi zote duniani

Wakiondoka Waznz mutazidi kubaguana kwa makabila hapa Tanganyika na wafugaji na wakulima.
 
teeeh teeeh mawazo potofu...
 
hats wasudani Kusini walikuwa name ndoto kama zako, Leo him wanachinjana wao kwa wao. Hats Zanzibar itaelekea huko, yaani kwenye vita vya waunguja na wapemba.
Unatutisha,Zanzibar huru a must
 
hats wasudani Kusini walikuwa name ndoto kama zako, Leo him wanachinjana wao kwa wao. Hats Zanzibar itaelekea huko, yaani kwenye vita vya waunguja na wapemba.

Kwani Tanganyika ilikuwa kama Sudan mbona wanachinjana, wanauwana na kufanyana kila aina ya unyama au unajifanya huyajui?
 
uchache wa watu? wazanzibari waliopo zanzibar sio wote, asilimia kubwa ya wazanzibari wapo bara, muungano ukivunjika itabidi warudi zanzibar. Kwa sasa hivi tu tukisema wote warudi hawatatosha kwa rasilimali zilizopo.

Na rasilimali zao wachukue? Mnashindwa kuwalipa wanaovunjiwa vibanda sijiu kama mtaweza kulipa rasilimali zao huko Tanganyika!
 
Ok! Basi na tulale sana ili ndoto ziwe nyingi na kubwa huku hukibugia unga ili tuwaze sanaaaa! Mwisho wa siku tunajenga nchi!

Kwani kubugia unga ndio kufikiri na kulala ndio kuota? Kumbe ulikuwa unazungumza na alie lala na aliebwia unga? Basi umepoteza muda wako kwani alielala hasikii na mbwia unga hajali unamwambia nini!
 
Na rasilimali zao wachukue? Mnashindwa kuwalipa wanaovunjiwa vibanda sijiu kama mtaweza kulipa rasilimali zao huko Tanganyika!

kwani hizo rasilimali watakatazwa kuondoka nazo?
 
unawaona waznz ni vipofu kama nyinyi unawapangia kurudi znz, waulizie UAE wako wangapi? Uk wako wangap? Canada wako wangapi? Na nchi zote duniani

Wakiondoka Waznz mutazidi kubaguana kwa makabila hapa Tanganyika na wafugaji na wakulima.

Ndio vigeugeu hivi, muungano hamtaki lakini kukaa bara mnataka. Chenu chenu, chetu chenu! wazanzibari wanakaa bara kama watanzania muungano ukivunjika hatutakuwa na sababu ya kuwahifadhi tena, kwa lipi? huko ulikotaja canada, UAE na UK wazanzibari wanakaa bila passport au visa? mbona unachanganya mambo?
 
Back
Top Bottom