Post ilyochangiwa sana JF

Post ilyochangiwa sana JF

No More Drama

Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
95
Reaction score
19
wakuu
kichwa cha habari hapo juu chahusika
nahitaji kujua ni post gan ilifikisha reply nyingi kulko nyingine humu ndan
c:c Mwl.RCT
 
Last edited by a moderator:
Ndugu No More Drama

Kila jukwaa lina Post iliyochangiwa sana kuliko zingine zote

ili kuweza kubaini ni post ipi fuata hizi hatua:

1. Fungua jukwaa husiaka mfano Jamii-Intelligence: Jamii Intelligence

2. Bofya palipoandikwa Replies
chan_UUUUgiwa.jpg
3. Utaona mada hii ndio iliyochangiwa zaidi | https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/4762-mkapa-above-the-law-allegations.html |

4. Kwa kila jukwaa rejea step 1 - 3

KARIBU
 
Last edited by a moderator:
Bila hata kufuata hizo hatua, kuna post ya fans wa Man U, na ile ya kuweka mzigo (kubet).
Bahati mbaya sana topic zote hizo juu zinanikera sana. Ningekuwa mod ningezitupia koro koroni!
 
Back
Top Bottom