Post graduate ya education

Post graduate ya education

tinto

Member
Joined
Nov 16, 2015
Posts
99
Reaction score
50
Naombeni mnisaidie wana jamvi eti serikali bado inaajiri hawa walimu waliosoma post graduate ya education?na kama ndiyo ajira za ualimu zinatoka lini?
 
Aaaah!!!!maana nina ndugu yangu ana hope kubwa sana ya kupangiwa kazi amesoma iyo post graduate ndo mana nilikuwa nahitaji kujua zaidi
Atapata mungu ni mwema
 
Back
Top Bottom