Post Graduate Diploma v/s Bachelor Degree

Kalibuni tena wadau katika mdahalo huu ingawa nimegundua baadhi hawajui tofauti ya Advanced Diploma & Post graduate Diploma.Kwa ufupi huwezi soma Post graduate diploma kama huna digrii ya kwanza tofauti na Advanced diploma.Nihayo tu.kalibuni!!

Kama hujui ni bora ukakaa kimya tu kuliko huu uongo ulioandika hapa.Mwenye degree na Advanced Diploma wote wanaweza kusoma post graduate diploma.Na kuongezea tu mwenye Adanced Diploma anaweza kwenda masters provided ana gpa ya kuanzia 3.5 kwenda juu
 
Nimekusoma!!
 
Ni kweli mimi nina adv. Diploma gpa 3.8 nina admission ya masters ya mzumbe na OUT
 
hapa mkuu umemalizakila kitu....mi binafsi nimekuelewa sana
 
Let me try; Naanza kwa example Mtu kasoma degree ya Education then akaenda kusoma Post Graduate diploma ya Business administration, "Huyu hatumuweki ktk kundi la walio competent about Education" tunamlinganisha sawa na yule aliesoma degree ya Education (bila Post Graduate Diploma), lakin mtu aliesoma Degree fulan e.g BA.Ed alafu akasoma Post graduate diploma ya Education Management huyu tunamhesabia yko juu ya yule alie na degree pekee. May be I hv tried
 
Heko mkuu. Umeelezea vyema!!!
 
ujinga ni mzigo!
Unajua maana ya postgraduate wewe?
 
Udsm ukiwa na Advance Diploma plus Post Graduate Diploma wahakuchukui kwenye Master wabaguzi sana
 
Kama hujui ni bora ukakaa kimya tu kuliko huu uongo ulioandika hapa.Mwenye degree na Advanced Diploma wote wanaweza kusoma post graduate diploma.Na kuongezea tu mwenye Adanced Diploma anaweza kwenda masters provided ana gpa ya kuanzia 3.5 kwenda juu

Mkuu gpa ya 2.8 tu wenye advanced diploma wanasoma masters
 
Nina Bachelor of education (Chemistry and Biology), ninaweza kusoma Post graduate diploma in business au post graduate diploma in Accounting? Form four nina A ya Maths.
 
Nitaongelea zaidi kuhusu post graduate diploma hii ni qualification ambayo mtu anaiongeza hili aweze kufiti sehemu filani kisheria hasa yule mwenye degree Ni lazima uwe na degree ndio ukasome post graduate diploma mfano mtu kasoma bsc in physics akimaliza automatically hawezi kukubaliwa kuwa mwalimu katika shule za serikali kwa sababu Hana qualification za education even so yeye kasoma degree ya physics chuo kikuu kwahyo inambidi aingie mtini akaisake post graduate diploma ya education in physics
Ndipo anaweza kuajirika Kama mwalimu pia mtu huyu wa bsc in physics anaweza aka post graduate ya medical attendance kule ocean road kwa ajiri ya imaging and radiograph.
 
Mkuu nmeuliza hapo juu kama inawezekana kufanya post graduate ya financial management au Accounting kama nina B.Ed (Chemistry na Biology)
 
Kwaiyo wakuu mfano mtu ana degree ya sheria je anaweza kuchukua postgraduate diploma ya Electrical and Electonics Engineering?
 
Mkuu nmeuliza hapo juu kama inawezekana kufanya post graduate ya financial management au Accounting kama nina B.Ed (Chemistry na Biology)
BED km GPA inaruhusu kwann usiende kufundisha Collage ?
 
Unachanganya habari mdau!

Unajua postgraduate diploma?
 
Ni kutokujua na kutokuwa tayari kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…