Post Graduate Diploma in Education (PGDE)

Zimba XXV

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,879
Reaction score
4,338
Mwenye ulewa wa PGDE kozi anifahamishe kidogo.
 
ukimaliza unaajiriwa moja kwa moja kama watu wa degree unalipwa mshahara kama mtu mwenye degree ya ualimu...

sifa za kujiunga na hii course unatakiwa uwe na degree yoyote isipokuwa ya elimu.....muda wa kusoma inategemeana na chuo mfano udsm wana distance learning unasoma kama wanavyosoma open university mwaka mmoja tu unakuwa teacher.......kuna vyuo vingne hii course ni miaka miwili......

angalizo....sijajua kwa sasa kama ukispecilize masomo ya arts kama utapata ajira moja kwa moja ....

usini PM niulize hapa hapa nitakuelewesha kama hujaridhika na hayo maelezo...

ada is around 2m
 
Asante kwa maelezo yako mkuu nimekuelewa vilivyo wasi wasi wangu ulikua ni kwenye ajira sana sana shukrani
 
Back
Top Bottom