Post: Data intelligence manager (expert in excel) anahitajika

Excel ni uwanja wangu wa nyumbani, naku PM sasa hivi, kikubwa iwepo pesa ya kueleweka kuanzia 5M+
 
Utanicheck DM, pia uandike na price yako ntakutumia contacts zao utawacheck direct
Kampuni ipo wapi mkuu? Japo ni muda mrefu umepita lakini naomba contact zao. Nilikupm last week naona kimya
 
Mkuu, inamaana tangazo lilipotoka ile mwaka jana, ukaamua uingie chimbo kisa mikwara ile ya VLOOK n.k!? Labda una bahati mkuu, pengine kazi ile bado ipo. Kila la kheri!!
Kampuni ipo wapi mkuu? Japo ni muda mrefu umepita lakini naomba contact zao. Nilikupm last week naona kimya
 
Ina maana huzi qualification ulizo zisema ndio mmeshindwa kupata mtu. Tafuta vijana wa form IV training one year inatosha.. hata title ya manager inakujaje kwa kazi ndogo kama hizo.
 
Mkuu, inamaana tangazo lilipotoka ile mwaka jana, ukaamua uingie chimbo kisa mikwara ile ya VLOOK n.k!? Labda una bahati mkuu, pengine kazi ile bado ipo. Kila la kheri!!
Nimejiunga jf mwaka huu 2019 mkuu
 
Mbona mikwara mingi afu skills zenyewe zinazohitajika ni laini sana au kuna lingine limejificha?ipo wapi hiyo kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…