Noi Bai
Member
- Jan 12, 2018
- 77
- 140
Salamu wakuu!
Kuna jamaa yangu amenitext, ofisini kwao wanatafuta mtaalam wa kucheza na data (data analyst) wametangaza sana hiyo nafasi lakini bado hawajafanikiwa kupata
Kwahiyo kama unamfahamu mtu ambaye yuko vizuri kwenye excel ni PM nitakutumia contacts zao ukafanye nao interview.
Please note: kama unajua tu VLOOK UP na Pivot table/chart, au kudevelop basic formula za plus/minus, don't waste your precious time to even thinking of applying, na pia don't lie, kama unajua tu basic things sema but kwenye interview ukishajitambulisha tu jina lako unapewa laptop na data hapo hapo, on my experience wengi huchemka hapo, anapewa data then anatumia dk 20 kuzishangaa.......anatakiwa ambaye akipewa data anazisoma kwa dk 2 then ana produce report
Kwa kusisitiza, awe anajua kutengeneza templates, dashboards kwa kutumia slices (complex dashboards) in excel, power pivot na features kama hizo
Najua baadhi ambao wako vizuri, lakini ni wahindi na wakenya and natamani kazi kama hizi zianze kufanywa na watanzania ndo maana nkaipost hapa jukwaani
Lakini pia nivizuri kama haufahamu vizuri excel ukaanza kujifunza.....tulitoka analog tukaingia digital, sasa hivi tuna move kwenda kwenye data, and Data analysts ndo watakaokua wanatengeneza hela in five years to come.......!!!
All the best