hupati pocbo hapa, na paper itakupa za uso na utafeli coz ndo nyie maisha yenu mmeyaseti kwenye milungura kuanzia shuleni, kupata kazi n.k. m2 kama ww ukisimama na mm kwenye presentation hata huko mbelen hufui dafu coz hutakuwa na k2 kichwan isipokuwa unategemea wizi wizi tu.