Posho za Rais na Wabunge zikatwe kodi

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
377
Mwaka 2004 Bunge la JMT lilijadili na kupitisha hoja ya kuzuia Rais wa nchi asijadiliwe juu ya mshahara wake na kupendekeza juu ya utaratibu wake wa kulipa /kutokulipa kodi

Ni aibu leo Mbunge bila hata kuvaa dakika chache tu kuomba ushauri juu ya hoja yake yeye anakurupuka tu hata bila kujiongeza, eti posho zote za rais ziwekwe kwenye mshahra wake na zikatwe kodi, akisahau kwamba hata yeye na wabunge wenzake wanatakaiwa wajadili kwanza na aipeleke kama pendekezo ili ijadiliwe na bunge kwanza ili posho zote za watumishi wakiwamo na wao wabunge posho zao ziwekwe kwenye payroll ili zote zokatwe kodi

Ni sawa kutafuta kikk kwa kuongea hate speech but utumie akili basi uombe ushauri.
 
Back
Top Bottom