Mkuu unataka kumaanisha kila mechi atakayochezesha mwamuzi anaingia gharama mpya ya kiatu, jezi, kibendera na filimbi?Mwamuzi wa Ligi Kuu anapokuwa
kwenye mechi, inaelezwa analipwa kati ya Sh 300,000 hadi 350,000 kwa mechi, pesa ambayo inajumlisha nauli ya kutoka anakoishi kufika kwenye kituo cha kazi na gharama za malazi na chakula...
😀😀Ina maana hata wachezaji hurudia jezi zao?Kwa hiyo kila mechi wananunua vifaa vipya?
Naamini wanarudia kuanzia viatu hadi jezi.😀😀Ina maana hata wachezaji hurudia jezi zao?
Waamuzi wengi wa tz ni waajiriwa wa serikali baadhi yao ni maasilkari jeshi polisi na n.kMwamuzi wa Ligi Kuu anapokuwa
kwenye mechi, inaelezwa analipwa kati ya Sh 300,000 hadi 350,000 kwa mechi, pesa ambayo inajumlisha nauli ya kutoka anakoishi kufika kwenye kituo cha kazi na gharama za malazi na chakula...
Mechi ya Dabi inasemwa kuwa marefa huhongwa mpaka milioni 20 aisee..kushinda vishawishi inahitaji moyoKwahiyo pesa aisee ni rahisi kuwapa milion moja wakagawana na mkapata penati za mchongo na maisha yakaendelea na bado tukamuita nabi professor
Acha masihara bana.... ligi yetu ni soccer imitation , tunaigiza tuUsiwe sirias na ligi ya Tanzania ni bonanza tu
Wabongo hawaeleweki ukute wanaoiona ni ndogo wanalipwa laki 1.5 kwa mwezi [emoji23][emoji23]Hela nyingi sana hiyo kuna watu ndo mshahara wao wa mwezi na wanaishi sasa hao hiyo ni posho kila mechi mbona inatosha tu
Pesa inaruhusu? Kuchezesha kwa haki ni nature ya mtu tu ,huku mtaani refa anachezesha bure na anachezesha kwa haki fresh kabisaMwisho wa siku, posho ziongezwe ili hao waamuzi wachezeshe kwa weredi, na pi kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguu. Laki 5@mechi siyo mbaya.