K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Nov 24, 2011 #1 nimepita manzese ajenitina leo wanapouza majeneza nimekuta promesheni ya kuuza majeneza, muuzaji alikuwa ana nadi nunua moja leo upate mawili ofa ya kusherehekea miaka 50 ya uhuru
nimepita manzese ajenitina leo wanapouza majeneza nimekuta promesheni ya kuuza majeneza, muuzaji alikuwa ana nadi nunua moja leo upate mawili ofa ya kusherehekea miaka 50 ya uhuru
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,441 Reaction score 166,938 Nov 24, 2011 #2 ofa yake angepeleka Mandela Road