Gerald Hando amezidi kujishaua ka yeye ndo mmiliki wa hiyo redio. Eti asubuhi anasema ooh Kanisa Katoliki linapitia ktk misukosuko. Waumini imani zao zitakuwa mashakani. Yeye ni nani hadi aongee kwa authority hivyo!.. Mapozi na kujisahau kwake kunaiharibu Clouds FM. Ona kushabikia mabwabwa kulivyoitia hasara! Aache kugusia mambo asiyo na madaraka nayo..