PreGE2025 Porojo za CCM: Wanamdanganya nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Manjagata

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
17,176
Reaction score
19,846
Makalla anatudanganya eti atakayeshinda kwa haki atangazwe, ina maana uchaguzi uliopita wapinzani hawakushinda kwa haki baadhi ya majimbo walidhulumiwa? Tanzania hii kuwa na uchaguzi wa haki ni pale Jumuiya ya kimataifa itakapoingilia kati na kuwa na wasimamizi huru wa uchaguzi.
 
Je yule mgombea akishindwa je atatangazwa kwa haki kuwa ameshindwa?
 
Angalia hili guluguja lilivyovimbiana mashavu kama linapuliza moto .
 
huo ni ukweli mtupu. Na ni lazima kuambia na ukweli
kwenye kura za maoni ndani ya ccm atakaeshinda kura hizo atangazwe, samambamaba na kwenye uchaguzi mkuu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…