ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,375
- 28,484
Ninaamini kasi ya vijana wa kike na wa kiume kujihusisha na maadili yanayohatarisha ustawi wao, kwa kiasi kikubwa imetokana na mitandao ya porno za waszi wazi. Mfano ni ule mtandao wa rahatupu, uliokuwepo miaka kadhaa iliyopita, watu wengi leo wanazibuana mitalo kwa kasi sana kwa sababu ya mtandao ule.
Kwa sasa, mitandao ya kijamii kama Instagram imegeuka jukwaa la kile kinachoitwa soft porn—maudhui ambayo hayajafikia kiwango cha ngono ya moja kwa moja, lakini yamejaa mitindo na taswira zinazobeba ujumbe wa kingono kupita kiasi. Yani ile unafungua tu insta unashangaa makalio hayooo usoni mwako hata kama haufunguagi kuangalia makalio.
Ni ngumu sana mtu kuacha kuikifanya kile alichokiona kwenye porno na hii imepelkea ukweli usiopingika kwamba maudhui ya ngono yamekuwa na ushawishi mkubwa kwa mtazamo na mienendo ya vijana. Watoto wadogo wanarubuniwa, vibinti vya 2010 unakuta hadi kulamba koni vinajua, vinajana wanachafuana na maharisho tena peku peku, etc