hahaha...duh ndo maana naipenda sana JF nimecheka sana asubuhi ..mmenifurahisha sana guys, naona mtoa hoja kajificha kimya anakuja kuchungulia na kusepa tu.
Amini usiamini serikali tatu hazifai jamani.maana zikiwepo ni kwamba hakuna muungano coz kila nchi itasimama yenyewe ss na hiyo serikali ya tatu cjui itakua inaishi vp hpo??
haha naona haoni pa kuanzia ili arudishe hoja yake dah.
kaka kitu cha arusha kile...................Hivi unajua bangi
inayotumiwa na wajumbe wa bunge la katiba,bado haijajulikana inalimwa
wapi?
hahaha...duh ndo maana naipenda sana JF nimecheka sana asubuhi ..mmenifurahisha sana guys, naona mtoa hoja kajificha kimya anakuja kuchungulia na kusepa tu.
Mi naona bora serikali tatu tuu.
Hivi unajua bangi inayotumiwa na wajumbe wa bunge la katiba,bado haijajulikana inalimwa wapi?
wanaivutia kwenye ndani ya shimo la takatakaLabda inatoka nchi jirani halafu wanaivutia chooni
kaka kitu cha arusha kile...................
Labda inatoka nchi jirani halafu wanaivutia chooni