Naunga mkono hilo, nadhani mods ni wataalamu wa haya mambo, hivyo kama wanaweza kumodify namna ya ku quote itapendeza. Ku quote kuna maana kubwa lakini mtu mwingine ana quote mwishoni hana hata ujumbe mrefu.. Mfano mtu ame quote chini anaishi neno "kweli kabisa". Km kutakuwa na maboresho ya ku quote mods itasaidia.