Junior Rutashoborwa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 228
- 210
😁😀😁😅😄😃😉😌Najua nimekukosea sana mpenzi. Nimeenda kinyume ya agano la uhusiano wetu. Naomba unisamehe!
Haikuwa nia yangu, ni mipango mibaya ya watu. Nahisi kuna madawa waliniwekea kwenye kinywaji changu. Nisamehe sana Linda.
Vannesa, popote ulipo naomba umwambie Linda kuwa nampenda sana. Najua atakusikiliza we kwa sababu anapenda sana unavyoimba shemeji yangu.
Nimemisi sana ushauri wako juu matumizi mazuri ya fedha. Nitapata wapi mwingine kama ww?
Nyumba yangu sasa imekuwa gereza bila uwepo wako. Nimejaribu kwenda Geneva kupunguza mawazo ila bado nakuwaza.
Njoo uone nimetimiza ahadi yako...njoo uone nimekununulia ua zuri la Rose.
Mama na kaka wamekukumbuka sana Linda.
Valentine bila wewe ni tarehe ni sawa na tarehe Tarehe 1/12.
Popote ulipo jua kuwa nakupenda myahudi wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo nae ghetto huku huyo Linda ahaa kumbe ni wewe
Maana kaniambia ana bwana wake wa kihaya anapenda sifa na uongo Mara nyingi yupo jf anajiita junior rutasho I don't fakeni care
Sent using Jamii Forums mobile app
akitoka kwako naomba apitie na kwangu nikeshe naye mkesha wa Valentine's 😂 asichelewe sasa.Nipo nae ghetto huku huyo Linda ahaa kumbe ni wewe
Maana kaniambia ana bwana wake wa kihaya anapenda sifa na uongo Mara nyingi yupo jf anajiita junior rutasho I don't fakeni care
Sent using Jamii Forums mobile app
Why?Linda, dumping this nigga is one of the best decisions you'll ever make!
Haitasaidia mkuu.Nakubaliana na koootee kasoro tarehe tu isome tarehe za mwezi January watu ndio husema eti ni mbaya!
NB: Hivi kwa nini mtu akiondoka maishani mwako ndio unauna umuhimu wake??
Kama hajakublock msumbue asubuhi msumbue mchana msumbue jioni tuna hata clips unamlilia, msumbue sana! Wanawake tuna huruma, atakuhurumia!