Popote alipo anisamehe

INAENDELEA
Baada ya kufika muhimbili na kufungwa kichwa kizima bandeji

INAENDELEA.
Bandeji niliyofungwa kichw kizima na kupelekea kubaki macho tu hivyo baada ya siku mbili niliruhisiwa kutoka hospitalin pale Muhimbili lakin nikiwa mapokez nikimalizia process za kuondoka nikamwona Shangaz yake na mke wangu ambaye kiumri anafana na mke wangu nikamsalimia na mwisho akaamua kunipeleka nyumban baada ya kuniona niko vile na hata tulipofika nyumban alikataa kuondoka hivyo akaamua kunihudumia mpaka nikapona huku akiwa ananipika na kunifulia kiikweli moyo ulifurahika sana maana niliona tofauti ya shangaz wa mke wangu na aliyekuwa mke wangu mwisho wa siku tukiwa seblen tunaangalia filamu ya kimapenzi ya kikorea tukajikuta tunafanya mapenzi kiukweli shangaz wa mke wangu alikuwa mzuri kwenye hiyo sector kuliko mke wangu hivyo niliendelea kuish nae mpaka siku moj a alipokuja kuniambia ameshika moyo kidogo moyo ulianza kufarijika maana shangaz alikuwa copyright na mke wangu bas baada ya miez kama sita kupita na shangaz tumbo likiwa kubwa siku moja nikashangaa kupata ugeni wa ajabu yaan baba mkwe wangu na ndugu wa mke wangu huku baba mkwe wangu akinilaumu haiwezekan nimjaze mimba dada yake huku nikijua nilitemba na mwanae ukweli wale ndugu walinishangaza sana maana walikuja full kama coaster mbili kilichotokea........
ITAENDELEA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila mtu anatoa mrejesho wake...
Sasa na mimi baada ya mechi ntakuja kuimalizia hii story ya huyu jamaa maana nilikuwepo
 
Kilichotokea kila mtu hakuamini hata Mimi mwenyewe sikuamini ule ujasiri niliupata wapi wakati tangu utoto wangu ni mtu asiyependa kuzungumza mbele za watu wengi namna ile au kupigana. Nafkri hii ndo iliyofanya hata mke wangu kunisaliti kwa mangi mwenzake.
Nikashangaa nimeshawakaribisha ndani nikiwa serious na upole kiasi nikmwambia baba mkwe wangu wa zamani kuwa mambo haya yanazungumzika tuyamalize kifamilia. Nikiwatazama wale wengine walianza kunionea huruma kila wakitazama zile bandeji kichwani na makovu mengi yakionesha mishono niliyoshonwa na yule nesi ambaye siku ile naye alikuja nyumbani koz nilimuomba aje anifungulie bandeji pale pale nyumbani. Hivyo alivyomaliza shift yake akaja mapema zaidi ili amuwai mtoto wake kabla hajatoka nursery school asubui ile.

"Hapana haiwezekani" mama mkwe akasepa kwa nguvu huku akinyannyuka pale kitini. Mara baba mkwe akamshika mkono huku akisema" Nimechoka kulea mizigo nyumbani kwangu" hapo nikajua mambo yanaweza kuwa mazuri. Nikagundua kumbe yule shangazi na mke wangu alifiwa na mumewe kwa miaka 5 sasa na kwa jinsi alimvyompenda alikataa kuolewa kwa haraka hivyo tangu msiba umalizike alikuwa anakaa kwa kaka yake( mkwe wangu).

Mara baba mkwe akainuka akielekea ktk friji ndogo iliyokuwepo pale seblen akisema " nina kiu sana ngoja ninywe maji kwanza" Ile anafungua tuu ile friji nikamuona akitoa tabasabu kama la mke wangu alipokuwa anampokea yule jamaa getini kule kigogo. Kumbe kaona mizinga miwli ya konyagi mmoja ukiwa nusu na mwingine ungali hujaktwa utepe.
Akaichomoa kama ilivyokuwa bila kufunga friji akaiweka mezani huku kila mtu akimtazama usoni kuwa anataka kufanya nini......... akaufungua ule uliokuwa nusu akaumimina ktk glasi kuukuu iliyokuwa pale mezani huku akinitazama usoni kwa makini kisha akasema" Noone should put Konyagi in the fridge"
Itaendeleaaaaaaaa


Hahaaaaa
 
ha ha ha mkuuu upo? za rikizo ya jf? hujanisahau akilini tu?
Nipo aisee majukumu yamenibana sana nimerud jf Jana usiku ndiyo nilifanya vurugu za kukutag.
Suala la kukusahau hilo halipo nitaendelea kukukumbuka
 
Mwanamme mnakutana nae kwenye daladala wa nn huyo?
Wala usijute kuachana nae maana angekukula tu
Tafuta mwenye hata ka VITZ bana
Nipe namba tafadhali tuanze kuongea
 
Hahahahahahaha........Kwa haya uliyoyaandika naamini machungu yamepungua. Ila hilo la rafiki zako kwenda kwa mshana kuchukua dawa za tambiko limenifanya nicheke kama mwehu. Mshana kokote ulipo njoo ukanushe kuhusu hili suala la dawa za tambiko
 
Hahaha hata sikuonei huruma sasa unaomba msamaha kwa kosa lipi na wakati yy ndio amekukosea shikamoo mapenzi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…