Popote alipo anisamehe

Unatuambia story za kushindwa kula wewe Jau
 
Yajayo yanakaribia kufika muhimu tuwe tayar
 
Nenda kwa Shigongo akakuelekeze namna ya kuandika
Kuperereza
Ukatiri
 
Yaan huyu jamaa angejua mitusi aliyotukanwa kimoyomoyo!
 
Alikutana na mwanamke kituo cha daladala.

Wakaanza kuishi pamoja.

Mwanamke akapata kazi akamuacha jamaa akaenda kupanga.

Jamaa akamvizia huko akamuona akimpokea mwanaume.

Roho ya ukatili ikamjaa akaondoka.
Daaa mkuu umetisha sana na hyo summary maana umeniacha na bonge la cheko[emoji23] et "roho ya ukatili ikamjaa akaondoka" duuu
 
INAENDELEAA

Tuliishia pale mtoto washangazi yake mke wangu alipokuja kwangu. Uo ndio ukawa mwanzo wakutembea na mtoto wa shanga, i yake na aliyekuwa mke wangu.

Sasa endelea..........
Kwa haraka sana mpaka siku mtoto washangazi anaondoka pale kwangu na jinsi shughuli aliyonipa sikuweza hata kumuuliza jina kutokana na machungu niliyokuwa nayo yakulipiza kisasi kwa alichonifanyia aliyekuwa mke wangu, niliona kutembea na mtoto wa shangazi yake inaweza ikawa ni kisasi tosha kwa huyu mwanamke ,ili kiwe kisasi asilimia 100% nilitamani awe hata nimempa ujauzito kwa usiku ule…

Niliendelea kuwa mlevi ili kupunguza machungu, siku moja nikiwa kariakoo,na rafiki zangu ambao nilikutana nao meneo ya fire akina Vladimirovich Putin, sky elclat Heaven Sent Sakayo ambaye nae tulikutana nae akiwa na Demiss wametoka kwa Mshana Jr kuchukua dawa za tambiko ,ghafla nilimuona aliyekuwa mke wangu amekaa na wachaga wenzake wanakunywa juice ya mama ntilie mmoja ambaye sikuweza kumfahamu kwa muda ule, nilishikwa na hasira sana na ghadhabu iliwaja sana ndani yangu nilienda mbio mpka pale nakumvamia nakuanza kumuuliza yule dereva boda boda yuko wapi nionyeshe…..

Nilishtuka ghafla nimepigwa na kitu kizito kichwani natoka hapo sikujitambua tena ,mpka naandika haya niko muhimbili hospital nikiwa na bandeji kichwa kizima….,,


ITAENDELEAAAA
 
Roho ya kikatili na huruma imemuingia ghafla kashindwa kuendelea kuandika
 
Hahahaaa. Niamshe aisee.

Eti sio kawaida lol. Haya niamshe basi Sesten upate mwenzio. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ntakuamsha tuwe beneti Hajar tayarisha kahawa nakuja na biscuit, kashata, tende na halua eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…