Popote alipo anisamehe

Alikutana na mwanamke kituo cha daladala.

Wakaanza kuishi pamoja.

Mwanamke akapata kazi akamuacha jamaa akaenda kupanga.

Jamaa akamvizia huko akamuona akimpokea mwanaume.

Roho ya ukatili ikamjaa akaondoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]aseee nimecheka sana comments za wadau...
 
INAENDELEA...

Basi baada ya mimi kuondoka, nikarudi nyumbani, lakini njiani wakati narudi nyumbani niliamua kupitia Bar, nikanunua mizinga yangu miwili ya konyagi, Balimi tano, Serengeti chupa tano, na queen Elizaberth moja, zote nilibeba na kurudi nazo nyumbani,
Basi nilipiga hivyo vinywaji, mwezi mzima sikuweza kutoka ndani, nikiwa namuwaza mke wangu ambaye sijumuona bali tuliokotana tu huko kwenye dala dala, kiukweli unaniuma sana...

ITAENDELEA...
 
INAENDELEA

basi baana ule mwezi mzima kuisha ambao nilikua mtu wa mawazo sana , pombe imekua kama Juoce kwangu , siku moja nikiwa job , akaja Mtoto wa shangazi yake na yule mke wangu, basi akashangaa kuniona nilivyokonda, akaniuliza mke wangu yupo wapi, daaahhh ilo swali liliniliza sana, nikaamua kwenda naye mahali nkaanza kumsilimulia hali yote mpaka nakua hapo.

Daaahhh Nashukuru uyu dada , alikuja kunipa kampani nisiyoitegemea, akawa anakuja home,anapika, saa ingine ananifulia, siku zikaenda , ,nakumbuka kuna siku akaja kwangu usiku, akadai kwenda kwao nimbali, yee alikua kwao ni Kibamba huko,basi ikabidi mwanamme nmpikie, akala akaoga, alichonimaliza niyeye kunifata room , nilipomuona tu mzee akasimama, kwakweli sikuwah kuinjoy mapenzi toka nizaliwe km penzi alonipa huyi dada ,nkala mzigo ,nilipiga show za kibabe ,kesho yake baada ya chai akaenda kwao ,huo ndo ukawa mwanzo wa mimi kutembea na mtoto wa shangazi yake na aliyekua mke wangu.

ITAENDELEAAAAAA
 
[emoji23][emoji23]
 
Part3
 
Pumbafu sana.. yani nimesooma mpk mwisho alafu hkn kitu[emoji84]
 
Utakuwa umecopy na kupaste, hukucheki kama content zote umecopy ukakimbilia kupaste.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…