asante sana.. doh inasikitisha sanaAlikutana na mwanamke kituo cha daladala.
Wakaanza kuishi pamoja.
Mwanamke akapata kazi akamuacha jamaa akaenda kupanga.
Jamaa akamvizia huko akamuona akimpokea mwanaume.
Roho ya ukatili ikamjaa akaondoka.
Kuna mtu nimeona amesummarize hapo..me kanichosha..kuwahi kote siti jamaninimejarib lakin nimeishia mstari wa pili tu 🙁🙁
hahahaah pole tema mate tumchapeKuna mtu nimeona amesummarize hapo..me kanichosha..kuwahi kote siti jamani
Teh! Aptuuuuhahahaah pole tema mate tumchape
ngoja nichape... pahhhh pahhh pahhhTeh! Aptuuuu
Chanteeeengoja nichape... pahhhh pahhh pahhh
anything for u babeChanteeee
Uko vizuriAlikutana na mwanamke kituo cha daladala.
Wakaanza kuishi pamoja.
Mwanamke akapata kazi akamuacha jamaa akaenda kupanga.
Jamaa akamvizia huko akamuona akimpokea mwanaume.
Roho ya ukatili ikamjaa akaondoka.
Uko vizuriAlikutana na mwanamke kituo cha daladala.
Wakaanza kuishi pamoja.
Mwanamke akapata kazi akamuacha jamaa akaenda kupanga.
Jamaa akamvizia huko akamuona akimpokea mwanaume.
Roho ya ukatili ikamjaa akaondoka.
[emoji23][emoji23][emoji23]tusubiri part 2Ndio imeisha?