Popo si ndege wala.....!!!

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,502
Reaction score
6,460


Sitaki kuwa mchokozi but nasikia popo ni mboga tamu sana baadhi ya sehemu hapa nchini!! Hivi kwa jinsi alivyo hapo pichani wanchinjaje na wanchunaje? Wataalam wa kukuza wasaidiee...!!!
 
Kweli dunia ina mambo.
Kwa macho yangu nilimuona jamaa akila
popo wabichi kama ishirini na tano.
Sikula chakula siku mbili
 
tamu sana hasa wakirostiwa na pilipili kwa mbaaali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…