Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,502
Wataalam wa siasa za kimataifa hii imekaaje mji wenye mamlaka yake ya ndan unapofanya maamuz ya aina hii???Habari kutoka Vatican City papa Fransisco ameomba apewe nafasi ya kujiunga na "global South " kama mwangalizi .wachambuzi wa medani za kimataifa wanahofu kuwa huwenda ombi lake likagonga mwamba kutokana na kuwa ni miongoni mwa nchi zinazofungamana na wamagharibi.
View attachment 2728854
Wakatoliki wanachoangaliaga ni maslah tu yaani money money moneyHabari kutoka Vatican City papa Fransisco ameomba apewe nafasi ya kujiunga na "global South " kama mwangalizi .wachambuzi wa medani za kimataifa wanahofu kuwa huwenda ombi lake likagonga mwamba kutokana na kuwa ni miongoni mwa nchi zinazofungamana na wamagharibi.
View attachment 2728854
Hiyo ni City state kama vile Palestine , Taiwan au Hong-KongWataalam wa siasa za kimataifa hii imekaaje mji wenye mamlaka yake ya ndan unapofanya maamuz ya aina hii???
Uchunguzi ufanyike hii ni biashara kupitia mgongo wa dini.Wakatoliki wanachoangaliaga ni maslah tu yaani money money money
Hahaha... upo SahihiWakatoliki wanachoangaliaga ni maslah tu yaani money money money
Wasikubali hilo ni pandikizi linawekwa ili lichunguze habar za ndanKwa kuwa Marekani na Uingereza hazitakubaliwa kujiunga na BRICS basi wao wameamua kuitumia Vatican.
Vatican ni watalaam kwenye tasnia ya ujasusi na watasaidia kuidhibiti BRICS na kuhakikisha wazipata taarifa zote nyeti na kisha kuzipeleka kwa wamarekani na waingereza.
Vatican wajulikana kwa huduma zake nyeti kwenye maeneo ya uchumi na siasa za Dunia hii.
Ila Russia tayari wameng'amua hilo na ni kuona kama watawakubalia Vatican au la.
Sababu ingine yaweza kuwa upande wa nchi za magharibi na Marekani zaona kwamba BRICS imewakubali Iran na Saudi Arabia ambao ni waislam basi nao kwa kuwa majority ni wakristo wameona labda Vatican akae kama "observer" ili kama kuna hitilafu basi Papa awe mpatanishi.Wasikubali hilo ni pandikizi linawekwa ili lichunguze habar za ndan
Marekani na Uingereza waitumie Vatican?! Sikutaraji kuwa naweza kusoma kitu kama hiki toka kwako.Kwa kuwa Marekani na Uingereza hazitakubaliwa kujiunga na BRICS basi wao wameamua kuitumia Vatican.
Unamanisha Vatican ni vibaraka wa nchi za magharibi?Kwa kuwa Marekani na Uingereza hazitakubaliwa kujiunga na BRICS basi wao wameamua kuitumia Vatican.
Vatican ni watalaam kwenye tasnia ya ujasusi na watasaidia kuidhibiti BRICS na kuhakikisha wazipata taarifa zote nyeti na kisha kuzipeleka kwa wamarekani na waingereza.
Vatican wajulikana kwa huduma zake nyeti kwenye maeneo ya uchumi na siasa za Dunia hii.
Ila Russia tayari wameng'amua hilo na ni kuona kama watawakubalia Vatican au la.
Sahau!Muda siyo mrefu BRICS wanagawana matofari..
πππππππ
...and unaamini India, SA, Saud Arabia , Egypt na wengine hawatatoa taarifa kwingine?Wasikubali hilo ni pandikizi linawekwa ili lichunguze habar za ndan
Sahau!
Kwa maana EU ina nguvu zaidi kuliko BRICS+?Muda siyo mrefu BRICS wanagawana matofari..
πππππππ
Lengo kuu la brics ni kupambana na usa na washirika wake hakuna zaidi,malengo mengine ni danganya toto tu. Ukitazama wanataka waondoe matumizi ya dola kama currency ya kibiashara duniani eti kila mtu atumie currenccy yake mara watumie yuani ya china jiulize hili litawezekanaje kwa nchi zenye currency instability.
Sasa wanavyoongeza washirika ndio wana karibisha mamruki wa usa anzia na saudi arabia,kinachoenda kutokea ni mvurugano ni suala la muda
Wakifanikiwa?Lengo kuu la brics ni kupambana na usa na washirika wake hakuna zaidi,malengo mengine ni danganya toto tu. Ukitazama wanataka waondoe matumizi ya dola kama currency ya kibiashara duniani eti kila mtu atumie currenccy yake mara watumie yuani ya china jiulize hili litawezekanaje kwa nchi zenye currency instability.
Sasa wanavyoongeza washirika ndio wana karibisha mamruki wa usa anzia na saudi arabia,kinachoenda kutokea ni mvurugano ni suala la muda tu.
Mkuu wewe Unafikiri China na Urusi,,India,Iran n.k hawajui kuwa Saudia ni Mamruki wa US lakini wewe huku ndio unajua?.Lengo kuu la brics ni kupambana na usa na washirika wake hakuna zaidi,malengo mengine ni danganya toto tu. Ukitazama wanataka waondoe matumizi ya dola kama currency ya kibiashara duniani eti kila mtu atumie currenccy yake mara watumie yuani ya china jiulize hili litawezekanaje kwa nchi zenye currency instability.
Sasa wanavyoongeza washirika ndio wana karibisha mamruki wa usa anzia na saudi arabia,kinachoenda kutokea ni mvurugano ni suala la muda tu.
Mkuu wewe Unafikiri China na Urusi,,India,Iran n.k hawajui kuwa Saudia ni Mamruki wa US lakini wewe huku ndio unajua?.