Pope Francis falls while conducting Mass in Poland

Namimi siku nikijikwaa na nikaanguka chini, nitakuja niweke bandiko hapa kupitia ile I'd yangu ya zamani
 
Hapa inabidi nicheke tu...... yani Papa kaona bora yeye agaregare chini lakini chatezo kisalimike. Hahaaaa, yaani kama mlevi, atadondoka lakini glasi ya pombe itabaki hewani, pombe hakuna kumwagika
 
Sijui Mugabe atakuwa Na comment gani juu ya hili...maana wazungu walimzonga sana alivyoanguka mwaka Jana ile..
 
Dah mkuu hata kama wewe si wa imani hiyo lakini elewa kwamba huyo ni mzee kama alivyo babu yako na kitendo cha mtu mzima kuanguka iwe kwa namna yoyote si cha kukejeli namna hiyo

Mkuu hapa sikejeli, bali nafurahia uhodari wa Papa kuhakikisha Chetezo, na pengine kilichomo ndani yake, hakidondoki. inawezekana kuna ubani wa kitakatifu sana ndani ya chetezo hicho
 
Namimi siku nikijikwaa na nikaanguka chini, nitakuja niweke bandiko hapa kupitia ile I'd yangu ya zamani
Wewe ni nani Mkuu? Yaani wewe hata uonekane ukimezwa na chatu hiyo wala sio habari.
 
Sijui Mugabe atakuwa Na comment gani juu ya hili...maana wazungu walimzonga sana alivyoanguka mwaka Jana ile..
Mugabe anamheshimu sana Pope. Ni kiongozi wake wa kiroho na ukizingatia pia Pope huyu hajatokea Ulaya au kuwa na maneno makali ya moja kwa moja dhidi ya utawala wa Mugabe. Sitegemei hash comments kutoka kwake. Sana sana sitashangaa kusikia kundi la Daesh lijikitapa kwamba limehusika na kudondoka kwa Pope.
 
Kama kajikwaa ni kawaida myu kuangu baaada ya kujikwaa. Lakini kama kaanguka kwa matatizo ya kiafya hiyo ni issue nyingine.

Pole papa Francis
 
... na habari imesema baada ya kujikwaa aliendelea na ratiba yake kama kawaida ...
 
Kwani wewe, ama, baba yako, ama mama yako, ama babu yako, ama Dada yako, hamjawahi kuanguka?
Wewe kwani tatizo nini, ungemzuia sasa asianguke, unakera issue si kaanguka au angukewa mgabe ungeshangilia, kuanguka kawaida tu naona unafuatilia sana.
 
Interesting!!! Hapo si ndio Pope John Paul II alikuwa anaenda na baba yake kufanya hija? Just curious!!!
 
Back
Top Bottom