Nilikua namaanisha USA.Umeangalia vibaya labda, ni kutoka juu kwenda chini, yaani ni orodha ya nchi masikini Duniani, hivyo namba 1 (CAR) ndo nchi masikini klk zote, piili, tatu na kuendelea!
Nchi yetu sisi kama hatuendelei vile. Naona miaka na miaka tupo top 50.
Hizi takwimu huwa sizielewi kabisaNafikiri TZ tumepiga hatua ukilinganisha tulipotoka, mpaka miaka 90' mwanzoni tulikuwa nchi ya 3 kwa umaskini Duniani, leo hii ni 33, hivyo tumejaribu kidogo, shida ipo Kenya wao ndo wanarudi nyuma au wamesimama kwani zamani walikuwa wako juu kabisa ya nchi kama Ghana, Zambia au hata dr.Kongo!
Huenda jinsi pesa yao ilivyo na thamani kushinda yetu na uchumi tupo nyuma kiasi hicho. Simple maths, we are 20 steps behind kenya
Hizi takwimu zinachukuwa utajiri wa nchi kwa ujumla na kugawanya kwa kila raia wa nchi hiyo. Yaani Gdp per capita. Pia kuna gni per capita.Ndiyo maana Kenya kuna watu masikini wengi na matajiri wengi pia. The same applies to U.S.A and Britain ambapo kuna matajiri wengi na masikini wengi especially black people and maybe hispanics who live there. Usiangalie masikini pekee halafu ukose kuangalia matajiri pia. Unadhani Kenya ina watu masikini pekee? Basi wewe unaishi kwenye dunia tofauti. Pia unadhani U.S.A ina matajiri pekee? Basi wewe unaishi kwenye dunia tofauti. Ukweli ni kwamba nchi chache sana zimeweza kusawazisha mapato na utajiri wa wanchi wake. Especially for capitalistic societies like Kenya. Kwa hivyo hakuna jambo la kushangaza hapo. Jaribu kufungua akili kidogo, sio tu kuja Kenya na kutembelea kibera pekee halafu kurudi nyumbani na kusema eti Kenya watu ni masikini. Tembelea maeneo fulani fulani ya Kenya kidogo ujionee mambo kabla ya kusema eti ulijionea umasikini tupu. Hilo si ukweli.Hizi takwimu huwa sizielewi kabisa
mie nikienda Kenya huwa naona umasikini wakupindukia level moja na DRC
Naposema umasikini namaanisha umasikini kweli
Nimepitia vijiji Kenya watu wana umasikini wakutupwa
Lakini sisi mkuu wetu anasema ameleta viwanda, lakini Bujibuji havioni.Hii ni orodha ya nchi masikini zaidi Duniani, ukiangalia TZ yetu (kipato 2,786) ni ya 33 na Kenya ni ya 37 (kipato 3.155), ina maana Kenya imeizdi TZ kwa nafasi 4 tu au USD 369 tu!
Poorest countries in the world – ranked | Atlas & Boots
Punchline!
TZ yetu na Kenya wote tuna kazi kubwa ya kufanya, zote mbili ni kati ya nchi masikini kabisa Duniani, kwanza cha ajabu hata dr. Kongo (USD 5,717) ni tajiri zaidi ya Kenya, hivyo wakati mnaleta picha za kujivunia maestate ya Nairobi yanayomilikiwa na Muzungu /Indians ambayo wewe huruhusiwi hata kuweka pua yako kwenye geti kabla haujakamatwa, kumbukeni kwamba Kenya kama vile TZ ni masikini sana, na haijalishi ni wangapi wana njaa kuliko wengine!
Hizi takwimu zinachukuwa utajiri wa nchi kwa ujumla na kugawanya kwa kila raia wa nchi hiyo. Yaani Gdp per capita. Pia kuna gni per capita.Ndiyo maana Kenya kuna watu masikini wengi na matajiri wengi pia. The same applies to U.S.A and Britain ambapo kuna matajiri wengi na masikini wengi especially black people and maybe hispanics who live there. Usiangalie masikini pekee halafu ukose kuangalia matajiri pia. Unadhani Kenya ina watu masikini pekee? Basi wewe unaishi kwenye dunia tofauti. Pia unadhani U.S.A ina matajiri pekee? Basi wewe unaishi kwenye dunia tofauti. Ukweli ni kwamba nchi chache sana zimeweza kusawazisha mapato na utajiri wa wanchi wake. Especially for capitalistic societies like Kenya. Kwa hivyo hakuna jambo la kushangaza hapo. Jaribu kufungua akili kidogo, sio tu kuja Kenya na kutembelea kibera pekee halafu kurudi nyumbani na kusema eti Kenya watu ni masikini. Tembelea maeneo fulani fulani ya Kenya kidogo ujionee mambo kabla ya kusema eti ulijionea umasikini tupu. Hilo si ukweli.
Huenda jinsi pesa yao ilivyo na thamani kushinda yetu na uchumi tupo nyuma kiasi hicho. Simple maths, we are 20 steps behind kenya
Hizi takwimu zinachukuwa utajiri wa nchi kwa ujumla na kugawanya kwa kila raia wa nchi hiyo. Yaani Gdp per capita. Pia kuna gni per capita.Ndiyo maana Kenya kuna watu masikini wengi na matajiri wengi pia. The same applies to U.S.A and Britain ambapo kuna matajiri wengi na masikini wengi especially black people and maybe hispanics who live there. Usiangalie masikini pekee halafu ukose kuangalia matajiri pia. Unadhani Kenya ina watu masikini pekee? Basi wewe unaishi kwenye dunia tofauti. Pia unadhani U.S.A ina matajiri pekee? Basi wewe unaishi kwenye dunia tofauti. Ukweli ni kwamba nchi chache sana zimeweza kusawazisha mapato na utajiri wa wanchi wake. Especially for capitalistic societies like Kenya. Kwa hivyo hakuna jambo la kushangaza hapo. Jaribu kufungua akili kidogo, sio tu kuja Kenya na kutembelea kibera pekee halafu kurudi nyumbani na kusema eti Kenya watu ni masikini. Tembelea maeneo fulani fulani ya Kenya kidogo ujionee mambo kabla ya kusema eti ulijionea umasikini tupu. Hilo si ukweli.
Hizo real estates zinamilikiwa na Wakenya ni chache tu ndio zinamilikiwa na foreigners. Tatizo ni kuwa percentage ya mabwenyenye Kenya ni ndogo sana na percentage ya masikini iko juu. Shida ni capitalistic system ambapo gap kati ya matajiri na masikini itazidi kupanuka. Infact huko U.S.A, gap kati ya matajiri na masikini imepanuka zaidi hata kushinda Kenya. Huko U.S.A one percent of the Americans (Akina Bill Gates and Warren Buffet na wengine) wanamiliki zaidi ya asilimia tisini ya mali ya kibinafsi (yaani private wealth.) Kwa hivyo tatizo ni system ya uchumi wa capitalism. Socialism inaweza suluhisha baadhi ya haya matatizo. Lakini tatizo ni kwamba socialism inafanya watu kuwa lazy kwa sababu hakuna mtu anataka kulima shamba la jamii halafu jirani yako aje kuvuna mazao eti kwa sababu shamba linamilikiwa na jamii. Kwa hivyo capitalism ni mbaya lakini socialism is not the solution, tutafute system nyingine tofauti kabisa wa uchumi. Best system ingekuwa ni kuchukuwa wealth redistribution ya socialism na kuchanganya na private ownership ya capitalism kama vile some scandinavian countries zimefanya. Education and health ni free huko lakini pia watu wanaweza miliki nyumba na mashamba. Lakini inawabidi walipe tax ya zaidi ya 60% ili kuweza kuprovide free social services kama health and education. Kwa hivyo kila system ina advantage na disadvantage yake, inategemea ni gani wananchi wamechagua.Lkn ukiangalia hakuna tofuati kubwa kihivyo kati TZ na Kenya, ukiangalia hizo takwimu, wote sisi ni nchi masikini tena sana tu, hivyo tushirikiane kutoka hapa badala ya kuleta Picha za estate za foreigners ambazo hata hatuzimiliki!
Linganisha hela ya Kenya na ya China na Japan, ndipo utakapogundua simple maths yako is damn wrong.
Hizo real estates zinamilikiwa na Wakenya ni chache tu ndio zinamilikiwa na foreigners. Tatizo ni kuwa percentage ya mabwenyenye Kenya ni ndogo sana na percentage ya masikini iko juu. Shida ni capitalistic system ambapo gap kati ya matajiri na masikini itazidi kupanuka. Infact huko U.S.A, gap kati ya matajiri na masikini imepanuka zaidi hata kushinda Kenya. Huko U.S.A one percent of the Americans (Akina Bill Gates and Warren Buffet na wengine) wanamiliki zaidi ya asilimia tisini ya mali ya kibinafsi (yaani private wealth.) Kwa hivyo tatizo ni system ya uchumi wa capitalism. Socialism inaweza suluhisha baadhi ya haya matatizo. Lakini tatizo ni kwamba socialism inafanya watu kuwa lazy kwa sababu hakuna mtu anataka kulima shamba la jamii halafu jirani yako aje kuvuna mazao eti kwa sababu shamba linamilikiwa na jamii. Kwa hivyo capitalism ni mbaya lakini socialism is not the solution, tutafute system nyingine tofauti kabisa wa uchumi. Best system ingekuwa ni kuchukuwa wealth redistribution ya socialism na kuchanganya na private ownership ya capitalism kama vile some scandinavian countries zimefanya. Education and health ni free huko lakini pia watu wanaweza miliki nyumba na mashamba. Lakini inawabidi walipe tax ya zaidi ya 60% ili kuweza kuprovide free social services kama health and education. Kwa hivyo kila system ina advantage na disadvantage yake, inategemea ni gani wananchi wamechagua.