HOMOSAPIEN JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 745 Reaction score 273 Nov 8, 2012 #41 Nasolwa said: Ni mtabiri gani huyo muongo namna hii wakati gwiji la utabiri shehe Yahaya alishatutangulia kwenye haki Click to expand... Sera nzuri zinazochipukia za madini,gesi,ardhi ndiyo mtabiri wa maendeleo na mchumi wa gazeti la economist la Marekani ameyaona hayo na kuyaandika katika gazeti lake miaka 3 iliyopita.
Nasolwa said: Ni mtabiri gani huyo muongo namna hii wakati gwiji la utabiri shehe Yahaya alishatutangulia kwenye haki Click to expand... Sera nzuri zinazochipukia za madini,gesi,ardhi ndiyo mtabiri wa maendeleo na mchumi wa gazeti la economist la Marekani ameyaona hayo na kuyaandika katika gazeti lake miaka 3 iliyopita.