Poor Jero

The Fixer

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
1,365
Reaction score
599
JERO na ELFU KUMI baada ya kupoteana kwa mda mrefu

JERO; Ulikuwa wapi ndugu yangu mbona huonekani?

ELFU KUMI; Daah! Ndugu yangu mambo mengi, nazunguka sana kwenye ma-wallet na ma-ATM,mara nimeingia bar,mara casino,juzi nilikuwaAirport nikakaa sana pale kisha nikaenda Mlimani city nikatoka nikaenda Holiday Inn, Kisha nikachukuliwa nikapelekwa masaki. Wewe vp, pande zipi?

JERO; Ooh, mwenzio kila cku kwa mama ntilie, nikibadilisha kiwanja kilabuni, stoo ya mkaa mwenzio sina usafiri wa wallet huku ni mifundo ya kanga na vibubu. Si unaona nilivyozeeka, yaani utadhani mi ndo mkubwa kumbe wewe ndio mkubwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…