Poor Brain FT MS R wimbo unaitwa Sijiwezi

Poor Brain FT MS R wimbo unaitwa Sijiwezi

Daaah mkuu kwa profile yako inaelekea wewe mwenyewe ni mtu mzito sana aiseee...

Sasa kama unavojua mi ni underground jaribu kupunguza pesa mkuu utaniua sasa 😂😂😂😂
Jitume, punguza nyeto focus na kazi achana na wanawake wasio na tija, punguza pombe ongeza ubunifu. Hela haipungui $4000 ni kama msamaha tu kwa nyie newbie
 
Jitume, punguza nyeto focus na kazi achana na wanawake wasio na tija, punguza pombe ongeza ubunifu. Hela haipungui $4000 ni kama msamaha tu kwa nyie newbie
Khaaaaaa 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Wee kuweza mkuu mbona vya kupunguza vingi hivo...

Mkuu taanza na $2000 kwanza nakuomba mkuu najua kutokea wewe kwenye video yangu ni promo kubwa
 
Back
Top Bottom