Poor Brain FT MS R wimbo unaitwa Sijiwezi

Poor Brain FT MS R wimbo unaitwa Sijiwezi

kumbe kuna watu unawapenda tofauti na mimi!! Upendo wote niliokuoneshaa!! Kweli!!??

Leo hii unanifanyia hivi mimi Kwa lipi...

Haya angalia ana nini kunizidi, mbona wowowo ninalo, shepu ninayo, uzuri ninao na maokoto ninayo! Umekosa nini kwangu? Eeeeh? nakuuliza...
 
Diamond ajipange sanaaa tena awe makini msanii wetu wa Jf ni moto wa kuotea mbali , hapa nahisi akirudisha mifugo jioni ataandika kibao kingine mana kuna nyimbo na kibao hiki kibao😅😅😅
 
Back
Top Bottom