Naomba kuuliza kwamba eti wakuu nikitaka kuweka mahali pooltable kwenye bar hivi maeneo ya Sinza au ilala malipo yanakua bei gan kwa mwezi yaani ntakayo mlipa mwenye bar kama kodi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.