donmasam Senior Member Joined Jun 19, 2013 Posts 161 Reaction score 36 Oct 26, 2013 #1 waungwana habari za asubuhi....!!nngependa kujua wapi pool table zinauzwa na mwenye contact zao tafadhali anipatie..!!nawatakia siku njema
waungwana habari za asubuhi....!!nngependa kujua wapi pool table zinauzwa na mwenye contact zao tafadhali anipatie..!!nawatakia siku njema
hoffman JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 310 Reaction score 484 Oct 26, 2013 #2 Nenda external ubungo wanajiita king pool table,bei ni wanaanzia1.3